Rushine aahidi makubwa kimataifa, Simba ikielekea malawi

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 4th September 2026

Rushine aahidi makubwa kimataifa, Simba ikielekea malawi

Nahodha msaidizi na mlinzi wa Simba SC, Rushine De Reuck, amewatoa hofu mashabiki wa klabu hiyo, akiahidi kufanya vizuri zaidi katika msimu huu kuliko walivyofanya msimu uliopita.

De Reuck ametoa kauli hiyo wakati Simba ikielekea nchini Malawi kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika, huku akisisitiza dhamira ya timu hiyo kufanya vizuri katika kampeni za kimataifa.

Simba itashuka uwanjani Jumapili dhidi ya Mighty Wanderers ya Malawi, katika mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku Wekundu wa Msimbazi wakilenga kupata matokeo mazuri kabla ya mchezo wa marudiano.

More Stories

Massanza akumbana na fainali kamati ya saa 72

Today, READ MORE β†’
Kangwanda: Tumejiandaa vizuri, tutatoa kila kitu uwanjani.

Bodi ya ligi tanzania bara yafuta kadi nyekundu ya Gibril sillah wa Azam

Mngqithi: Gaborone United ni timu imara, Yanga inakabiliwa na mtihani mgumu.

Ahmed Ally atuma ujumbe mzito kwa wachezaji wa Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mighty wanderers

Aziz KI apewa mazoezi ya ziada kuingamiza Gaborone united kesho

Bernard Kamungo ajumuishwa rasmi kwenye kikosi cha Taifa Stars.

Kikosi Cha awali Taifa Stars hadharani kufuzu Afcon 2027

CAF yakagua arusha kujiweka tayari kwa afcon 2027.